NAFASI YA KAZI................SOUS CHEF
UZOEFU WA KAZI ..................KUANZIA MIAKA 5
UJUZI WA UPISHI..............AWE NA UWEZO WAKUTOSHA IDARA ZOTE ZA JIKO
ELIMU ............................. KUANZAI CHETI NA KUENDELEA
KURIPOTI KAZINI.............. HARAKA IWEZEKANAVYO
UWAJIBIKAJI........... KUJITUMA NA KUWEZA KUFANYA KAZI MASAA MENGI
MSHAHARA.............MNONO SANA
MAHALI....................MTWARA
ENEO LA KAZI...........HOTEL YA NYOTA 3
AINA YA BIASHARA YA CHAKULA.............A LA CATER NA LIVE BBQ
MALAZI ............ CHUMBA CHA CHEF KIPO, VINYWAJI NA CHAKULA BURE
MATIBABU............... BURE
UFANISI.................. AWE CHEF SHUPAVU NA MKALI HASA


KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA KUTUMA MAOMBI TAFADHALI TUMIA BARUA PEPE HII
issakesu@gmail.com NA UTAJIBIWA HARAKA SANA KUMBUKA KUAMBATANISHA CV
YAKO NA NAMBA YA SIMU YAKO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ebu acheni ujinga, ati uzoefu kuanzia miaka mitano na hao waliomaliza vyuo je watapate kazi ili na wao wapate huo uzoevu? hata hao wenye uzoefu wa miaka mitano nao walianza mwanzo hii tabia bi mbaya sana tena ipo sana huko bongo. wapeni watu nafasi waonyeshe makeke yao.. mbona madakitari hawafanyi upuuzi huu hadi wanakuja kuwa mabingwa? hata mbuyu ulianza kama mchicha. wenye certicate zao za ukweli nendeni mkaombe hiyo kazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...