Wenye haraka kuliko wenzao wakiwa wametanua katika barabara iendayo Tegeta mara baada ya upande mmoja wa njia hiyo kuwa na foleni kubwa.hali hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara katika barabara nyingi za hapa mjini hasa foleni inapozidi upande mmoja wa barabara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...