Mtoto wa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, Iman Pinto, akikata keki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka minne ya kuzaliwa kwake, mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto akikata keki tayari kumlisha mwanawe Iman.
Imani akimlisha keki Bibi mzaa baba
Iman akimlisha keki mamake mzazi Queen Komanya






Happy birthday my darling baby Iman. Love you, God bless you & grant you many more.
ReplyDeleteHAPPY EID MUBARAK AL MUFTI SHEIKH JUMAAA BIN JUMAAA BIN PINTO. HAPPY BIRTHDAY IMAAAN BINTI JUMAAA BINTI PINTO. FURAHA EID MUBARAK NA SIKU YAKO YA KUZALIWA IMEANGUKIA KWENYE SIKU KUBWA YA EID EL FITR.
ReplyDelete