GLOBU YA JAMII INAPENDA KUWATAKIA WADAU WOTE MFUNGO MWEMA WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI. 

TUFANYE SWALA NA TUENDELEZE MEMA MWEZI HUU NA MINGINEYO...

RAMADHAN KAREEM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Thank you michuzi....Allah atusamehe makosa yetu sote

    ReplyDelete
  2. Ramadhan njema Woote na kwa ankal Michuzi.
    ujumbe kwa wale wenye vichwa makini.
    je allah pia ni Mungu wawakristo ukweli huo hapo kwa link
    http://www.youtube.com/user/CloningIsFun#p/u/3/-WxT79R-p98
    don't ignore youll learn something you never heard before.
    Yousufu H.

    ReplyDelete
  3. And don't forget that HYPOCRITES will be severely punished and their place will be in the DEEPEST OF HELL-FIRE. Ramadhan kareem.

    ReplyDelete
  4. Shukran Jazakallahu kheir.Ramadhan njema kwako pia

    ReplyDelete
  5. thanx ankali utwekee na mawaidha bac tupate faida ktk mwezi huu mtukufu wadau wako wa blog ya jamii....!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...