Warembo 5 kati ya 30 wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, ambao wamefanikiwa kuingia fainali za kusaka taji la TOP MODEL wakiwa wamejipanga mbele ya majaji baada ya kufanikiwa kuingia katika hatua hiyo usiku wa Agosti 9,2011 katika Hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam. Mshindi wa taji la TOP MODEL atajinyakulia tiketi ya moja kwa moja ya kuingia Nusu Fainali ya Vodacom Miss Tanzania 2011.

 Majaji wa shindano hilo wakiumiza vichwa kutafuta mshindi. Warembo wote walikuwa wakati lakini 1 ndo anahitajika. Mshindi wa TOP MODEL anataraji kutangazwa leo katika siku maalum ya Waandishi Wa habari kufanya mahojiano na Washiriki hao wa Vodacom Miss Tanzania katika Hoteli ya Giraffe.
 kila aina ya pozi liliwekwa
 washiriki wakipita mbele ya majaji 
 mapozi
 washiriki wakipita mbele ya majaji 
Baadhi ya warembo wa Vodacom Miss Tanzania ambao hawakufanikiwa kuingia katika Fainali wakiwa wameketi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hivi hawa top model wakati wakipita mbele ya majaji hawaruhusiwagi kutabasamu maana naona wote wamenuna hii kitu kununa kwa model naonaga sana utadhani wamelazimishwa majaji waambieni mamodel wenu wawe angalau wanatabasabu kidogo yaani hawana confidence kabisa

    ReplyDelete
  2. Hapana mchezo Tanzania kuna warembo bwana!

    ReplyDelete
  3. Watoto utadhani wametoka kwa mswati vile...si mchezo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...