Home
Unlabelled
Video Mpya ya Wasanii wa Bongo Flava ya miaka 50 ya uhuru wa tz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Production ingefanywa na maproduza kadhaa pia ingekuwa na akili sana. All in all, thumbs up!
ReplyDeleteNamkumbuka mzee Cheyo alivyosema "Hakuna amani Tanzania, kilichopo ni uvumilivu." Ni kweli kabisa......umeme hakuna,nawasha Jenereta langu, ili niendelee na maisha....mara hooooo, mafuta yakuendeshea Jenereta hamna pia! Kwakweli uvumilivu ukiisha, kazi ipo!!!
ReplyDeleteNaungana na Mdau hapo juu uliopo ni uvumilivu na sio amani.
ReplyDeletebig up TID, KIBA, BLUE, KEISHA, BANANA, CHID, MPOTO, DIAMOND NA WENGINE..........
ReplyDeleteDULLY NA FEROUZ MMEHARIBU WIMBO!!
WAPI LADY JIDE JAMANI!!???
Dully na Feruzi wameharibu nini katika wimbo huu wa miaka 50 ya shida na karaha za Tanzania?
ReplyDeletesijaupenda, sijui ni stress zangu au hasira tulipo, wadoogo zetu Kenya ni kaka zetu kiuchumi, sio kibahati, ila kwa kazi, kujituma, na umakini, sawa walipoteza 2007 na zile vita, ila bado wametupita. Viongozi wao wanavutia wawekezaji, mfano. Kila kampuni kubwa unayo ijua makao makuu yao yapo Kenya, Hadi wachina wanafungua kiwanda cha magari, foton east africa (watengenezaji wa mabasi ya kichina kama yaNAYO TUMIKA NA Kilimanjaro NA METRO, Kama ndio huo mlima kilimanjaro, ndio kwanza wanasema upo kenya na watali wanamiminika) Lengo sio kuponda bali kuwa hamasisha kila mtu kwa nafasi yake kutimiza wajibu wake, na Kuwa na Uzalendo. . .Imetolewa na Mpenda Maendeleo ya TANZANIA, . . . .On the song, we can do better kwakweli kwa maana sekta ya bongo flavor ndio ya pekee inayo kubalika nje, sasa, kitu kama hichi kiwe cha makini zaidi. . Wazo zuri lakini, jaribuni tena
ReplyDelete