Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akikabidhi zawadi ya chakula cha Idd chenye thamani ya sh. mil.14 kwa madrasa tano katika Mji wa Mto wa Mbu, Wilayani Monduli, Arusha. Vodacom pia iliandaa futari kwa ajili ya waumini wa kiislamu wilayani humo hivi karibuni. Kulia ni Sheikh Mkuu wa Wilaya hiyo, Abdulkarim Jonjo na anaemfuatia ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli,Jowika Kasunga. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...