Meneja wa Tawi la Masdo la Benki ya Azania Harun Mushi (mbele) akishiriki katika hafla fupi ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo Dar es Salaam jana kwa wafanyakazi wake pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo ikiwa na lengo la kudumisha undugu baina yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania Charles Singili akishiriki katika hafla fupi ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo Dar es Salaam jana kwa wafanyakazi wake pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo ikiwa na lengo la kudumisha undugu baina yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania Charles Singili akisalimiana na baadhi ya waalikwa katika hafla fupi ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo Dar es Salaam jana kwa wafanyakazi wake pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo ikiwa na lengo la kudumisha undugu baina yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...