Watalii  kutoka Italia walipokuwa wakiwasili skuli ya Pwani Mchangani kufahamu maendeleo ya Skuli hiyo ambayo iko karibu na Ufukwe huko Mkoa wa Kaskazini A Zanziba
 Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Pwani Mchangani Haji Simai Mcha akitoa maelekezo kwa Watalii mbalimbali kutoka Italia kuhusu maendeleo ya Skuli hiyo ambayo iko karibu na Ufukwe Mkoa wa Kaskazini A Zanzibar
 Mratibu wa Kambi ya Matayarisho kwa wanafunzi Shehe Khamis Shehe(kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu maendeleo ya kambi ya wanafunzi wa Skuli ya Pwani Mchangani wanaotarajia kufanya mitihani ya Kidato cha nne mwaka huu

Wanafunzi wa Skuli ya Pwani Mchangani wakiwa darasani Skulini hapo ikiwa ni mkakati wa Kambi hiyo kwa ajili ya Matayarisho ya mitihani ya Kidato cha nne mwaka huu. Picha zote na mdau Hamad Hijja - Maelezo Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...