Baadhi ya wakazi wa jijini Dares Salaam wakifanya mazoezi kwenye siku ya mazoezi iliyofanyika katika viwanja vya kijitonyama jana na kudhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. SAFI SANA, MAZOEZI YANA FAIDA NYINGI KWA TAARIFA YENU!
    -Hakuna magonjwa ya Moyo, Pressure, n.k
    -Yanakufanya uishi maisha marefu bila kuzeeka
    -Yanakufanya uwe Mkakamavu na mwenye nguvu
    -Yanakufanya upunguze mawazo au msongo wa mawazo
    -Yanakufanya uwe na siha nzuri, afya iliyotulia
    **Tumia muda wa nusu saa tu kila siku, ukitoa jasho*** Utaona hiyo faida.
    ***ONYO..."USIBUGIE MSOSI" sana hasa baada ya mazoezi, bali ule vyakula vyenye virutubisho...Punguza mipombe, au acha kabisa, usivute sigara....usipuuzie mazoezi na ushauri!!... Mimi nina miaka 50 sasa ila utadhani nina miaka 30 vile..*ndo ushuhuda wangu huo**
    ***Mdau-Manchester, UK***

    ReplyDelete
  2. Vodacom wamekuwa mstari wa mbele kusaidia kuimarisha afya za Watanzania... endeleeni na moyo huo jamani si lazima kutoa misaada hospitalini tuu.. ni bora kufanya mazoezi na kuzuia non communicable diseases

    ReplyDelete
  3. Nasisi tunaoumwa miguu tutafanyaje? kuna mazoezi ya watu wa namna hiyo?

    ReplyDelete
  4. ni nzuri lakini je ni endelevu?? yaani ni suala la kufanyika kila baada ya muda fulani au ni moto wa kifuu tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...