Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Ndicho kitu ninachowapendea Watanzania "ustaarabu"....ila hapo hata ukidai haki utadai vipi, maana wateja hawana haki, ila wafanyabiashara ndio wana haki pekee! Hivi Serikali yetu viongozi mmelalaaaaa ama?

    ReplyDelete
  2. hapo kuna hatari kubwa sana ya maafa. naamini kituo chochote cha mafuta kina-carrying capacity isiyotakiwa kuchakachuliwa. mtu mmoja akijisahau akavuta sigara au bangi hapo ndipo serikali itakapoamua upya, ila kwa sasa haina shida kwa vile shida bado haijatokea.

    ReplyDelete
  3. KAKA MICHUZI NAOMBA UPOSTI HII KAMA POSTI MPYA IKIWEZEKANA NA SI COMMENT .

    SWALI LA KIZUSHI
    HIVI IKULU UMEME HUWA UNAKATIKA ? KUNA MGAO AMA ? NA JE MSAFARA WA RAIS MAFUTA HUWA UNAISHA AU WANA STORAGE YAO TOFAUTI ?

    ReplyDelete
  4. HII HALI INAANZIA KWENYE MIKATABA "MIBOVU/UFISADI" YA KIBIASHARA. KAMA SERIKALI INGEKUWA NA KIPENGELE CHA KISHERIA "KWENYE MKATABA WALIO SAINI/KUBALIANA NA WAUZAJI/WAWEKEZAJI" [SERIKALI] INGEWEZA KUWACHUKULIA HATUA PINDI WANAPOJIPANGIA "LAKUFANYA". NA KUSINGEKUWA NA MATATIZO KAMA HAYA. "TUNAUNDA TUME BAADA YA TATIZO KILA SIKU". TUNATAKIWA TUWE NA TUME YA KUPITIA MIKATABA YOTE YA WAWEKEZAJI/WAFANYA BIASHARA KABLA "HAWAJAKUBALIWA/KUBALIKA KUUZA MAFUTA/KUWEKEZA" [CHINA WANATUME MAALUM YA KUPITIA UWEKEZAJI KABLA HAUJAKUBALIKA KISHERIA]. TUME INATAKIWA IUNDWE/ISHIRIKISHE "MAWAKILI/WANASHERIA/MAJAJI", "WABUNGE","WAKUU WA MIKOA NA WILAYA", "SHIRIKA LA UPELELEZI LA TANZANIA [KAMALIPO/LINAFANYA KAZI]", "WATAALAMU WA BIASHARA/TECHNOLOGY/DOCTORS etc", "MABALOZI WA TANZANIA KATIKA NCHI WAWEKEZAJI WANAKOTOKA" [KUWE NA MFUMO WENYE MWELEKEO WA KIMAENDELEO] NA SIO BUDHA BUDHA/BLAA BLAA.....""WATANZANIA TUSHINIKIZE MAMBO MENGINE/MABADILIKO KWENYE KATIBA KABLA HAWAJAIPITISHA""...@#$%^&!*?

    ReplyDelete
  5. Naona hili ni fundisho tosha ,sioni katibu kata wala kada wa chama hapo,walalahoi peke yao na shida yao.
    Wakati umefika hakuna malaika wa kutunusuru ktk hii hali ya kunyanyaswa ktk nchi yetu.
    Wanapotaka kupigiwa kura wanakuja mpaka vichochoroni leo hii kwenye shida hawaonekani,nani atatunusuru?

    ReplyDelete
  6. Jamaa kanikumbusha mbali sana anasema SHELL ZOTE ZIFUNGIWE- Anaendelea kusema SHELL ZINAZO UZA MAFUTA NI ZA BP TU. SHELL= Gas station: Bongo mbele kwa mbele;

    ReplyDelete
  7. Kuna MTU mwishoni mwa video amenena; "hii nchi haina rais banaaa... Tupo tupo tuu"!!!!!! SAD!

    ReplyDelete
  8. WENZENU LONDON WAMEKIWASHA NYINYI MMEKUWA MALAIKA?

    ReplyDelete
  9. MASKINI WATANZANIA HATA KUJIELEZA HAWAWEZI.....MUNGU AWASAIDIE

    ReplyDelete
  10. Kuna hatari sana katika kuuza petroli kwenye vikopo vikopo, all you need is someone being a bit careless and you will have a catastrophic inferno. Sell of fuel should go straight into a vehicle not into random containers, and large crowds around a petrol pump is s simple way of inviting a disaster

    ReplyDelete
  11. nadhani hii ni 'comedy government '

    ReplyDelete
  12. Serikali Legelege inasubiri maafa ndio yenyewe iamke na iende msibani kutoa rambi rambi

    ReplyDelete
  13. hapo mtu akiwasha avudondosha sigara tu lazima tubate bbq maana kituo chenyewe kiko sinza mpaka fire ije ni baalaa!!!Mungu isaidie Tanzania!!

    ReplyDelete
  14. bngo hahahhaah nchi ambayo mwenye haki anaonekana han haki...taifa hili linahitaji mkono wa sir GOD....KUNA JAMAA KANICHEKESHA KWELI ANAULIZA"naweza kutoa maoni bila kuonekana upo free kaka uwoga ndo unatuponza tanzania..
    MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  15. Jamani tuacheni na yetu sie tumezoea shida.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...