
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(kushoto) akibadilishana hati ya msaada wa kiasi cha bilioni 133 na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Tonia Kandiero(kulia) mjini Dar es salaam kwa ajili ya miradi ya kilimo na elimu nchini.

Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(katikati) akijibu maswali ya waandishi wa habari (leo)mjini Dar es salaam mara baada ya kupokea hati ya msaada wa kiasi cha bilioni 133 kutoka kwa Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Tonia Kandiero(kulia) kwa ajili ya miradi ya kilimo na elimu nchini.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam
KAMA HIZO HELA ZITAONEKANA ZILIPOPITA HAHAHAAAAAAA TZ WEEEEE YANI ZINAISHIA KIMYA KIMYA WAGAWANE KAMA KAWAIDA YAO UFISADI TUU NCHI HII INABOA ILA IPO SIKU
ReplyDeletekila mwezi mnapokea mabilioni ya misaada na mikopo shame on u nchi haina huduma kwa jamii haina usafiri haina maji haina umeme watu wanakufa kutokana na kukosekana kwa meli za maana za kusafirishia raia
ReplyDeletemtakufa masikini kwa roho zenu mbovu tumechoka na nyiyi tutawaombea kila sala mpaka tuhakikishe mnaangamia
ankali usibane wenzio msiba umetuhusu tumepotelewa na mama na mama mdogo kutokana na serikali mbovu kutojali maisha ya raia wake
kila goti litapigwa siku ya siku ikifika jazeni matumbo somesheni watoto wenu nje endesheni magari ya mamilioni lakini kaburi linamhusu kila mmoja wetu
chonde chonde ankali ukibana hii utanizidisha munkali naweza fanya kitu mbaya.
Hivi huwa msaada kibongobongo (GRANT) au mkopo (LOAN)?. Inawezekana ikawa ni tafsiri mbofumbofu kutoka neno AID. Tunaomba tuwe tunapewa tafsiri sahihi maana uwezekano ni mk0ubwa huo unaoitwa 'msaada' tutalipa kwa kodi zetu, tena kwa faida!
ReplyDeleteCheki Mkulo anayochekelea! Hahahaha! Mkulo alisha dai bila posho nchi itayumba! Hahahahaha! Mungu ibariki Tanzania!
ReplyDelete