Juu ni Ankal na chini ni mdau Richard Kasesela ambao wamebahatika kuhudhuria shoo ya mzee mzima David Letterman katika ukumbi wa Ed Sullivan ulioko Broadway katika jiji la New York.  Kuhudhulia shoo hii ni bure ila kwa vile watu ni wengi wanaotaka kuhudhuria inabidi kwanza uandikishe jina kisha  baadaye majina yenu yanachaguliwa kwa mtindo wa bahati nasibu. Hii ni kila siku na watu hujaa balaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankal mbona unachungulia?

    ReplyDelete
  2. Nilizania mjomba uliacha fulanaz kumbe uliipakia kwa kutoka night.... salamu kutoka uswahilini watuwakilisha vyema...

    ReplyDelete
  3. Letterman aliwahi kutoa joke kuhusu air Tanzania.

    wakati show inaenda mapumziko ya sekunde chache kuruhusu matangazo ya biashara, alisema "This is the David letterman show, official in-flight entertainment for Air Tanzania" sikuamini macho yangu ilibidi nitie rewind na kurekodi haraka sana ili niwaonyeshe rafiki zangu.

    ReplyDelete
  4. Ankal chonde !chonde ! Mjomba !FULANAZZZZZ ya blog ya jamii
    hata siku moja usituambie Oh nilipereka kwa dobi ikaibiwa! US kuna dobi wa mitaani? tafadhali ukirudi bongo urudi nayo.
    si wengine ni sisi wapwao
    FFU ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...