Baada ya kumeremeta maharusi wanachagua kupiga picha katika eneo maarufu la Times Square jijini New York ambalo ni maarufu kwa maduka makubwa, kumbi za starehe na mikutano na pia biashara za kimachinga
Kaeni vizuri kidogo....
Hamna noma wala nini
Hapa tumemaliza na saa ya mnuso bado....twende wapi sasa?
Ankal unatunyanyasa, Mmhh, na mimi ngoja nifuate nyayo zako ili nipate hz trip
ReplyDelete