Juu ni Ankal na chini ni mdau Richard Kasesela ambao wamebahatika kuhudhuria shoo ya mzee mzima David Letterman katika ukumbi wa Ed Sullivan ulioko Broadway katika jiji la New York. Kuhudhulia shoo hii ni bure ila kwa vile watu ni wengi wanaotaka kuhudhuria inabidi kwanza uandikishe jina kisha baadaye majina yenu yanachaguliwa kwa mtindo wa bahati nasibu. Hii ni kila siku na watu hujaa balaa
Home
Unlabelled
ankal na bibo wamtembelea mzee david letterman...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ankal mbona unachungulia?
ReplyDeleteNilizania mjomba uliacha fulanaz kumbe uliipakia kwa kutoka night.... salamu kutoka uswahilini watuwakilisha vyema...
ReplyDeleteLetterman aliwahi kutoa joke kuhusu air Tanzania.
ReplyDeletewakati show inaenda mapumziko ya sekunde chache kuruhusu matangazo ya biashara, alisema "This is the David letterman show, official in-flight entertainment for Air Tanzania" sikuamini macho yangu ilibidi nitie rewind na kurekodi haraka sana ili niwaonyeshe rafiki zangu.
Ankal chonde !chonde ! Mjomba !FULANAZZZZZ ya blog ya jamii
ReplyDeletehata siku moja usituambie Oh nilipereka kwa dobi ikaibiwa! US kuna dobi wa mitaani? tafadhali ukirudi bongo urudi nayo.
si wengine ni sisi wapwao
FFU ughaibuni