Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania,Joseph Chenoth,aliyefika ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais kwa kumaliza muda wake wa kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania,Joseph Chenoth,aliyefika ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais kwa kumaliza muda wake wa kazi,baada ya mazungumzo yao. PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kiswahili shughuli sasa nani aliyemaliza shughuli zake rais kamaliza shughuli au balozi ndiye aliyemaliza shughuli zake?

    ReplyDelete
  2. Hatuoni comment leo. Hapo angekuwa shekhe kamtembelea Rais Ikulu, ungesikia wagala wanavyolalamika...!Dunia hii fanya jema uende zako.

    ReplyDelete
  3. hahahahaa.sio kwamba comment hakuna kabisa. ila wakati mwingine Ankal anachelewa sana kuzi approve!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...