Mhesimiwa Balozi Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria kikao cha African Tourism Annual Leadership Forum mjini New York. Pamoja na Balozi wetu ni Makamu wa Rais wa Gambia Dr Hajjat Assiat Njiaye (tatu kutoka kushoto), Mheshimiwa Ezekiel Maige ( pili toka kulia) na watu wengine maarufu duniani.
Home
Unlabelled
mkutano wa wadau wa African Tourism Annual Leadership Forum jijini New York
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...