Bi Vicky Mgonja akipongezwa na Mkurugenzi wa Fedha Bw Philemon Minga baada ya kukabidhiwa zawadi ya kuutumikia Mfuko kwa zaidi ya miaka 20 katika sherehe iliyofanyika katika hoteli ya Blue Pearl.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF Bw Daud Msangi akimkabidhi cheti pamoja na pesa taslimu Bi Revina Kashuku kwa kuwa mfanyakazi bora 2011 na kufanya kazi GEPF kwa zaidi ya miaka 20.
Mkurugenzi Mkuu wa GEPF Bw Daud M Msangi akimkabidhi cheti cha ufanyakazi bora wa idara ya masoko Bi Hedaya Kilemile ambae ni Afisa Masoko msaidizi katika kitengo cha Mpango wa Hiari wa Kujiwekea Akiba ya Uzeeni (VSRS) huku akishuhudiwa na Mkurugenzi wa Masoko Bw Anselim Peter.
Hongereni sana da Vick da Revina na Shosti Hedaya.....
ReplyDelete