
Mama Mitindo Asya Idarous Khamsin akimzawadia gauni lenye rangi ya bendera Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh.Mwanaidi Maajar

Shamim wa 8020 Fashions akipata picha ya kumbukumbu na Mh,Balozi Mwanaidi Maajar
wakipata picha ya kumbukumbu kutoka kulia ni Waziri wa Mali Asili na Utalii Mh.Ezekiel Maige,Mh.Catherine Magige(Mbunge viti maalum CCM),Mh.Leticia Nyerere(Mbunge Viti Maalum CHADEMA) na Walter Minja wa Powering Potential
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(shoto)akifungua Dansi la Gala Dinner na Balozi wa Federal Republic Of Nigeria ,Mh Ade Adefunye
Juu na chini ni Wageni mbalimbali wakipiga picha na Mh Balozi Mwanaidi Maajar
King Kiki akipagawisha na kitambaa cheupe
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar nae hakua nyuma na kitambaa cheupe
Kaka,
ReplyDeletePicha ya TATU kutoka chini,kushoto kwa balozi Majaar, huyo mwenye kigauni cha kijani/bluu ni nani huyo? Naomba kumfahamu tafadhali
Mtoto wa Balozi Majaar. Kama unampango wa kumposa masharti ni kuwa uwe na Greencard na uwe graduate!!
ReplyDeleteMDAU wa 27:07 43:00am 2011.UMENICHEKESHA SANA KAKA DUH.haya kila la kheri natumaini kaka MISUPU atafuta mawasiliano ya huyo DADA unayemuulizia.
ReplyDeleteMTANZANIA HALISI -KWA BIBI!