Leo tarehe 19.September ni siku ya kuzaliwa mwanamuziki,Ebrahim Makunja aka
Kamanda Ras Makunja ,mtunzi,mwimbaji na kiongozi wa bendi maarufu "Ngoma Africa band" aka FFU,yenye makao yake nchini Ujerumani.
Kamanda Ras Makunja alizaliwa Katikati ya jiji la Dar-es-salaama 19.Septemeber/
mtoto wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja(RIP) na Bi.Moza Hassan Mpili.
MKANGANYIKO WENU WA LUGHA LEO NI HUO WA HAPPY BRITHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA is it light to write like that?
ReplyDeleteMDSAU UGHAIBUNI
kamanda tunakutakia kila la heri,katika siku yako ya kuzaliwa,
ReplyDeletemungu akizidishie afya upate kupiga gwaride kwa nguvu zaidi,wasilimie FFU wenzio
Mdau MDSAU,
ReplyDeleteUnayo haki ya kukosoa katika maandishi ya mkanganyiko wa lugha kati ya HEPPY,HEPI,au HAPPY,lakini hii lugha ya ki inglishi,ni lugha ya tatu kwa sisi watanzania,yaani lugha ya kwanza labda ni zile la kimila,lugha ya pili ambayo ni muhimu sana ni KISWAHILI,ambacho nacho wapo baadhi yetu bado wanakosea katika matamshi au kuandika,na kingereza ni lugha ya tatu au ya nne inaweza ikawa sio muhimu katika jamii ya kitaifa na muhimu kimataifa ,hapa sio kama kuna haja ya kuikosoa blog ya jamii,kwa makosa madogo madogo,cha msingi ujumbe umeeleweka,na tunamtakia kila la heri bwana ras makunja aka kamanda ffu,katika siku yake ya kuzaliwa.
blog ya jamii idumu milele
Heisei? Kikamanda ketu ras makunja,leo ndio kinatimiza miaka 18,hongera sana sana mzee wa bongo tambarare,mungu akupe maisha marefu,pia ubalikiwe na ffu wako
ReplyDelete