Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Igunga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Kashindye, akiagana na wananchi wa kijiji cha Matinje, mara baada ya mkutano wa kampeni leo.
Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Susan Kiwanga (katikati) na Slyvester Kasulumbai (kulia), wakisindikizwa na wananchi wa kijiji cha Matinje, mara baada ya mkutano wa kampeni za ubunge wa Jimbo la Igunga leo.
Baadhi ya akina mama wa kijiji cha Buchenjegele, wakiwa katika hali ya furaha mara baada ya mkutano wakampeni wa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Igunga, Joseph Kashindye leo. (Picha na Joseph Senga).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kwa mtaji huo, kitaeleweka; kazi ni kulinda kura izo na juhudi ya kuziongeza mpaka cku ya uchaguzi, ambapo kazi kubwa zaidi itakuwa uhamasishaji wa watu kujitokeza kupiga kura, usimamaizi wa upigaji kura, kuweka mawakala makini wasiodanganyika na wenye mapenzi na uchungu wa dhati na kufuatilia matokea hayo toka kituo kwa ktuo kata kwa kata na mpaka uhesabuji wake katika jimbo. kwa hayo kitaeleweka!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...