kikosi cha yanga.
kikosi cha Villa Squad.
Mshabuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Villa Squad, Shai Mpala katika mchezo wa Liku Kuu ya Tanzania bara uliochezwa leo katika uwanja wa Azam uliopo Chamama,Mbagla jijini Dar.Yanga imeshinda 3-2.
Beki wa Villa Squad,Mohamedi Lupatu akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao.Picha na Francis Dande.
Kama UDA na Air Tanzania zilivyofidasishwa, uwanja mpya wa Taifa nao utamalizwa. Badala ya kupiga mechi katika uwanja ule, uwanja unafungwa. Zitapatikana wapi pesa za kuuendesha na kuuweka katika hadhi yake? Wakati tunawapongeza Azam kwa uwanja wao, tunawataka mameneja wa uwanja wa Taifa kuchangamkia madili. Pesa yote inaenda Chamazi, je uwanja wa Watanzania umekuwa pambo tu?
ReplyDeleteNaunga mkono hoja ya mdau hapo juu. Huu ni wakati wa biashara msitegemee tu pesa kutoka uchina!
ReplyDelete