Habari ya mchana mzee wa blog pendwa ya jamii,
Familia ya Eng. Ally Mlunga inaomba uitundike picha ya mtoto wao mpendwa Salum Ally kwenye blog yako. Tukio hili muhimu lilijiri jana tarehe 28/9/2011 ambapo mtoto Salum alikuwa akisherekea kutimiza mwaka mmoja.
Mtoto Salum anaonekana pichani akisaidiwa na dada yake kukata keki.
Mnuso na mazagazaga yote yalikuwa nyumbani kwao Temekeeeeee
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...