Sensei Rumadha Fundi maarufu kwa jina la SENSEI ROMI.

Kwa kweli ni jambno la kufurahisha na kujivuni sana kuwa Tanzania tunao watu ambao wamebobea katika sanaa ya kujilinda au mapambano KARATE (sanaa ya mkono mtupu) ambapo kweli nchini kwetu ilipokewa katika mazingira magumu sana ,kwani  hata hao waliokuwa wanafundisha walikuwa wanafundisha kwa kujitolea,mbali ya wanafunzi ambao kwao ilikuwa ngumu hata kuweza kununua sare za sanaa hiyo. 

Kwa kweli wakati umefika wa kuwatambua watu hawa na kuweza kuwatumia kwa faida yao na taifa letu. Blog yetu ilipata kuongea na Sensei Romi na kumuomba atupe muhtasari wa maisha yake katika KARATE na sanaa kwa jumla.
Gonga hapa kupata muhtasari wa Sensei Romi.
www.tzabroad.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...