Professor Abdulrahaman Mohamed Babu alikuwa mwanasiasa,mwanamapinduzi msomi,mwandishi,mchumi, na ujamaa kwake ulikuwa ni mfumo wa maisha yake.
Tunapowataja na kukumbuka wakongwe wa siasa na wapambanaji waliosimama kidete kuhakikisha kuwa wafrika tunajikomboa kutoka katika makucha ya ukoloni uwe mkongweau ukoloni mambo leo,jina la marehem Abdulrahman Mohamed Babu (RIP)alitasahulika,ambaye kama angelikuwa hai leo tarehe 22 September ndio siku yake ya kuzaliwa.

Historia inatuelezea kuwa mwanamapinduzi marehem Prof. A.M.Babu alizaliwa 22 Sept 1924huko kisiwani Unguja,Zanzibar, na alifariki dunia 05.08.1996, marehem Prof. A.M.Babuanakumbukwa kwa mengi pamoja na kuwa engineer wa mapinduzi ya visiwani 1964 yalimfanya sultani akimbie na kusahau kiremba kitandani kama inavyojielezea video hii
http://www.youtube.com/watch? v=-sMDkCSC_5g&feature=related
http://www.youtube.com/watch?
REST IN PEACE COMRADE!!!!!!!!!!! DAIMA TUTAKUKUMBUKA JAPO KUNA WATU HAWAELEZI UKWELI WA MAPINDUZI
ReplyDeleteAnkal Misupu asante sana kwa kutukumbusha wengi tulianza kumsahau komredi Prof Babu
ReplyDeleteKomredi hayati Babu rest in peace !!!!!!!!mchango wako katika taifa letu na bara zima la Afrika ni mkubwa kuanzia Zanzibar hadi Eretria ,wewe ndie uliye injinia mapinduzi yote ya kujikwamua,kama sio wewe reli ya uhuru(TAZARA) hisingekuwapo! dira yako ya kumuelekeza Baba wa taifa hayati mwalimu J.K.Nyerere kulekea china na kuanzisha urafi leo tuna reli ya Tazara
ReplyDelete