wawakilishi wetu wakipeperusha bendera ya Tanzania ndani ya westminister.


SALAM,


Urban Pulse Creative inakuletea matukio katika picha ya wawakilishi wetu kutoka Tanzania ndani ya Bunge la Vijana (YOUTH COMMONWEALTH PARLIAMENT) lililofanyika kuanzia tarehe 6-10 Septemba 2011. Tanzania Iliwakilishwa kutoka kwa Linda kapinga pamoja na  Lucy Minde. 

Motto wa Mkutano huu ulikuwa Mabadiliko ya Mazingira

Mbali na kupata fursa ya kukutana na wawakilishi wengine kutoka kwenye nchi mbalimbali za jumuiya ya Madola pia walikaribishwa kupata chakula cha pamoja  kutoka katika nyumba wa spika wa House of Commons John Bercow

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE


 Mh Balozi Peter Kallaghe Katika picha ya pamoja Linda na Lucy.
 speaker of house of commons.
 Linda Kapinga,mwakilishi wa Australia,mwakilishi wa Northen ireland na Lucy Minde.
 DR. Shija na Wawakilishi Wetu.
 linda akiwa kazini.
 Linda Kapinga na Lucy Minde [Wawakilishi wa Bunge la vijana wa CommonWealth.
 Linda Kapinga,Lucy Minde na mwakilishi wa Malawi [Heather Maseko] na walinzi,nje ya nyumba ya speaker wa bunge,walipoalikwa kwa Networking Dinner.
 Lucy akiwa kwenye chamber westminister na wawakilishi kutoka nchi mbalimbali.
Wawakilishi wetu wakifuatilia hoja Bungeni.
Jengo la westminister.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hawa kwli wanapesa hawa mbona jengo letu dodoma ni zuri mno kushinda lao? Qweman

    ReplyDelete
  2. mlipendeza lakini kazeni but.

    ReplyDelete
  3. Hawa waliotuma picha hizi na kuandika captions wanakaa UK inakuwaje wanaandika Westminister badala ya WESTMINSTER aibu kwei kwei. Nawe bro mithupu kwanini hufanyi editing?

    ReplyDelete
  4. Anon. wa kwanza, ishu sio uzuri wa jengo bali quality ya mfumo wake na waliomo ndani yake. Hata kama ikiwa outdoor poa tu ila mambo yaende bila mizengwe, ubadhirifu na usaliti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...