Jamaa akiuza Condom alizozipa jina la Obama katika barabara ya Broadway, Times Square, jijini New York. Nazo zinatoka kama njugu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mie nitaanzisha mkwere condom, hala michu ubane hii kama nimetaja jina la mtu hata lako halipo.

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha haaaaa! huku kwetu jaribu robo tu ya utani kama huo utakiona cha moto kwa kumdharau 'Mr Presidaaaa'

    ReplyDelete
  3. mdau hapo juu hata mie nitanunua mkwere condom kwa moyo wote

    ReplyDelete
  4. ukisema hapa Dr muheshimiwa nanihii condom
    umekwaisha watakuseya mpaka ukome

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...