Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood (pili kulia) akisikiliza kwa makini risala ya wanachama wa Asasi ya Antipoverty & Aids Organization (AAO) ya Mjini Morogoro, iliyosomwa na Mwekahazina wa Asasi hiyo ,Elizabeth Priscus ( kushoto) kabla ya Mbunge huyo kufungua warsha ya siku tano kwa viongozi na wanachama hao jana mjini hapa ( kushoto kwa mbunge ) ni Mwenyekiti wa Asasi hiyo, Stella Otto.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ( kulia) akisalimiana na baadhi ya wanachama na viongozi wa Asasi ya Antipoverty & Aids Organization (AAO) ya Mjini Morogoro, mara baada ya kufungua warsha ya siku tano kwa viongozi na wanachama hao jana mjini hapa.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii,Morogoro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...