PRICE: Tsh 7,000,000 Fixed

Options: Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Side Airbag / Power Windows / Rear Window Defroster / A/C:front / Cruise Control / Navigation System / Power Steering / Remote Keyless Entry / Tilt Wheel / AM/FM Stereo / 6 CD Changer / Power Seats / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors / Maintenance records available
Contact: Phone: 0755576348,
Email: smaitarya@yahoo.com
Weka bei basi! Mtajifunza lini biashara? Bei ndio inavutia watu. Unatangaza unauza kitu bila bei?
ReplyDeleteJamani wewe anonymous 12:23:00 mbona bei ipo wazi ni 7,000,000/=
ReplyDeleteANGALIA BEI JUU HAPO WEWE NYIE KILA KITU KU CIRTISAIZI TU
ReplyDeleteAnony hapo juu kuwa makini basi unaperuzi humu, jamaa kaweka na bei fixed: milioni 7 Tshs.
ReplyDeleteWEWE KIPOFU ACHA UJINGA WAKO NDIO MAANA MNAAMBIWA MRUDI SHULE!
ReplyDeleteWEWE HIYO BEI HAPO JUU YA PICHA YA GARI HUIONI? HAPO JUU YA PICHA YA GARI KUNA KITU KIMEANDIKWA MERCEDES BENZ FOR SALE : PRICE 7,000,000 HIO NDIO BEI WEWE PUNGUANI, SHENZI TAIPU.
mwenzangu mbona bei iko juu kabisa ya hiyo picha?soma habari vizuri acha kukurupuka kulaumu tuuu kama watu wa chadema.
ReplyDeleteNavigation System ya nini kwani ramani ya Tanzania imekuwa coded for GPS mtaa kwa mtaa? Vijana wa Ardhi Institute na UDSM Civil engineer na Geography changamote hilo. Code the city and towns.
ReplyDeleteWe huoni kaweka bei hapo juu PRICE:Tsh 7,000,000 Fixed. Au hujui kingereza?????? Umezoea kulalamika tu wakati hujasoma tangazo vizuri.
ReplyDeleteanon hapo juu kazi kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletemdau kipofu nini hapo juu 7,000,000 sh au kithungu hujui teh teh
ReplyDeleteSat Nav haifanyi kazi TZ maana street zetu ni pita kulia, pinda kushoto utakutana na mshelisheli pilau, ukifika hapo uliza bakari kichwa unakaa wapi, basi umeshafika!!
ReplyDelete