Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi wakati akiwasili kutoka Sao Paulo,Brazil kulikofanyika fainali za Dunia za mashindano hayo.Nelly Kamwelu ameweza kuiwakilisha vyema nchi yetu katika mashindano hayo na alifanikiwa kuingia katika 16 bora na kushika nafasi ya saba kwenye mashindano ya vazi la taifa.
Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K. Nyerere mapema leo asubuhi.
Jamani vp.. mbona muwakilishi wetu hajapokelewa?? Au ndo watu wako bize na maombolezo??
ReplyDeletehaya dada karibu nyumbani umejitahidi vya kutosha lakini kwa bahati mbaya nafasi yetu bado haijapatikana lakini ipo siku tutapata kuwa washindi
ReplyDeletejambo la mchango wangu kwako ni hili
jitahidi uwapo huko nyumbani usiwe ndio kichocheo cha ngono na kusahau kuwa unaweza kuwa ni kichocheo cha gonjwa hatari la ukwimwi
ninasema hayo kwa maanza zifuatazo...asilimia ya watanzania wengi wenye hela au wenye vijiuwezo fulani wanapenda mambo ya kuvamia au kushindania
sasa utakuja kuona unafatiliwa sana na hawa watu wenye vijisent kwajili wanahitaji kujionyesha kuwa wanaweza kutembea na kisura kama wewe
matokeo ya kufatiliwa huko hakutoishia kwa mwanaume mmoja utajikuta ukichukua huyu ukiacha yule matokeo yake utakuwa ni mmoja katika vichochezi vya ngono na gonjwa sugu
jambo la pili umetumia muda wako katika kuonyesha mavazi ya nusu utupu na kuonyesha mwili ili kujaribu kushindania taji hilo la umiss lakini kwa sasa jitahisi unapokuwepo huko nyumbani punguza mavazi ya nusu uchi
punguza mavazi ya nusu uchi au mavazi ambayo yanatia matamanio ya ngono kwani ukifanya hivyo itakuwa unachochea ngono
kumbuka wewe ni miss tanzania una nafasi kubwa ya kuigwa na wasichana wengi wa hapo nchini
sasa wasije kukuiga katika kuvaa nguo za kutamanisha watu kukaribisha ngono na gonjwa sugu kuchukua nafasi yake
asante sana.
mdau Holland
Uzalendo mzuri sana.Ni kweli alishika nafasi ya saba katika best costumes. Dada yetu hakufika top 16 (semi-final). Nadhani mwandishi umechanganya. Waandishi muwe makini na mnachoandika bila kupotosha umma.
ReplyDeleteulipoondoka mbona ulikuwa na begi moja? So ulienda shoping
ReplyDeleteShe is hot...big up to miss tz
ReplyDeleteNelly tunakupenda sana. Full stop.
ReplyDeleteWell done girl. You have made us proud.
ReplyDeleteWe mdau unayemuusia asitupe ngono sisi wenye vijisenti, kaa na fitna zako huko. Sisi tunahitaji kuruka naye wewe unataka kutuzibia. Acha hizo.Watoto wazuri kama hawa lazima wapate walezi.
ReplyDeleteHajafika hatua ya 16 bora niliangalia 'LIVE'.
ReplyDeleteJamani niliangalia shindano loote nasikitika kusema hakuingia kwenye 16 bora ila vazi la taifa ni kweli sina nia mbaya ninataka kusema tu ukweli.
ReplyDeleteMsemakweli US
lile vazi la taifa alilovaa alikuwa analiwakilisha taifa gani? Yale mavazi ni ya mpiganaji wa Kirumi, sijui kuna kabila gani hapa Tanzania linatumia!
ReplyDeleteLile vazi la Cleopatra ndiyo lilimpatia ushindi wa juu kuwa ni vazi la Taifa hili la Tanzania?
ReplyDeleteHapo nimechanganyikiwa.
HAKUFIKA TOP 16 SOMA HAPA
ReplyDeletehttp://semasikika.blogspot.com/