Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhandisi Rymond Mushi (kulia) Akimkabidhi mkuu wa chuo cha VETA Moshi Bw Daniel A. Komba kifaa cha udhibiti wa kemikali haribifu kwa Tabaka la Ozone katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hifadhi ya tabaka la ozone yaliyofanyika Mjini Arusha Leo. (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamo wa Rais)
Home
Unlabelled
maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hifadhi ya tabaka la ozone yafanyika Mjini Arusha Leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...