Madereva wakimaliza kazi ya kubadili tairi la gari la Mkuu wa Mkoa wa Morogoro lililopata pancha, baada ya kulishughulikia ubadirishaji ndani ya Pori la Akiba la Selous eneo la Matambwe.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mh. Issa Machibya (watano kutoka kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa wanyamapori , Askari na watendaji wengine wa Wilaya ya Morogoro na Mkoa, baada ya kufanyika kikao cha pamoja. Wa saba kutoka kulia waliosimama ni Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mh. Said Mwambungu. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Selous
Ni vyema viongozi na watanzania kwa ujumla tujenge mazoe ya kutembelea hivi vivutio vilivyopo nchini mwetu.
ReplyDeleteInasikitisha sana kuona raia wa nje ndio wanavijua na kuvitembelea kwa wingi wakati sisi wenyewe hatuna hata idea navyo.
Pongezi kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro na timu yake kwa kuonyesha njia.
http://tembeatz.blogspot.com/