Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa kampeni za CCM katika kata ya Nkinga kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge  jimbo la Igunga, mkoani Tabora, jana.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimnadi mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM, Simon Tyosera wakati wa uzindizi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo Kata ya Urughu wilaya ya Iramba mkoani Singida, jana.
 Wapenzi na mashabiki wa CCM wakimbeba mgombea wa udiwani jimbo la Urughu kwa tiketi ya CCM, Simon Tyosera baada ya kunadiwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za udiwani wa jimbo hilo jana.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimkabidhi kadi ya CCM  Joyce Eliya mwenye ulemavu wa miguu, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uchaguzi mdogo Kata ya Urughu wilayani Iramba mkoani Singida, jana.
 MWENYEKITI wa CHADEMA wilyana ya Singida mjini ambaye pia ni mjumbe wa Baraza Kuu na Kamati Kuu ya CHADEMA, Nakamia John (kulia) akikabidhi kadi yake ya chama hicho kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipoamua kuhamia CCM katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu, uliofanyika jana.
 Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki kucheza ngoma na vijana wa kikundi cha Makhirikhiri wa Kisukuma, katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu, Iramba mkoani Singida jana.
Mashabiki wa CCM wakishangilia wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Urughu wilayani Iramba mkoani Singida, jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wasukuma wanacheza ngoma Iramba, hii imetulia.

    ReplyDelete
  2. wajinga ndio waliwao.NA HII YOTE IME7BISHWA NA MWALIM NYERERE(R.I.P) KUWANYIMA WATZ ELIMU UNAONA SASA WALALAHOI WANAUZA UTU,MALI,HAKI ZAO KWA SHATI.KOFIA,KHANGA ELFU KUMI,KUMI KWA KURA AMBAYO IMEWASHULUBU,NA THEY ARE READY KUSHULUBIWA TENA KWA MIAKA MINNE IJAYO.ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...