RAIS Jakaya Kikwete leo amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa nchini.

Katika mabadiliko hayo, amewateua Wakuu wa Mikoa wapya 15, kuwabadilisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa watano na wengine saba wamestaafu kwa mujibu wa taratibu. Mkuu wa Mkoa wa Singida amebaki kwenye kituo chake cha kazi wakati Wakuu wa Mikoa wengine wanne watapangiwa kazi nyingine.


Aidha, Wakuu wa Mikoa mipya minne ya Simiyu, Geita, Katavi na Njombe itakayoundwa baada ya taratibu kukamilika watatangazwa baadaye.

Habari kamili na majina yote




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mithupu hiyo link ya majina naona not wekingi. Jaribu tena ili nione kama baba yangu kapata nafasi.. aahhh

    ReplyDelete
  2. DOES TANZANIA REALLY NEEDS THESE REGINAL COMMISSIONS?I THINK ITS TIME FOR THE GOVERNMENT TO CUT ITS SIZE OF THE GOVERNMENT BY ELIMINATING ALL THE REGINAL AND DISTRICT COMMISSIONS POSITIONS. WE DON'T HAVE THE MONEY TO HARBOR THESE UNNECESSARY GOVERNMENT EMPLOYEES. MIchuzi kama kawa tia hii pia kwenye kapu

    ReplyDelete
  3. WALE TULIOWAKATAA KWENYE KURA ZA MAONI ZA UBUNGE ZA SISIEMU NDO BAADHI WAMECHAGULIWA KUWA WAKUU WETU WA MIKOA, WATATUONGOZAJE? KWELI UTENDAJI MBOVU WA SERIKALI HAUTAKAA UISHE.NI MAONI TUU
    .......NAJUA HII HUTAITOA, UTABANA, ILA UKIITOA ITASAIDIA........

    ReplyDelete
  4. Mi naandika naelewa Mithupu utabana tu.. Ila namuunga mkono mtoa maoni wa pili kwamba hii kugawa gawa mikoa na wilaya ni kupoteza kabisa hela ya walipa kodi. Hawa watu wanateuliwa bila vigezo gani, mkuu wa wilaya Luten Kanali, mkuu wa mkoa ni Kanali??

    Na mtoa maoni wa tatu labda anasema ukweli, kama wananchi wamemkataa mtu kwenye kula za maoni hiyo si manake ufanisi wake wa kazi mbovu?? Jamani watanzania najua sisi ni wapole ila saa nyingine tunaonewa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...