Jumuiya ya wazanzibari wanaoishi Canada ZANCANA Inatoa mkono wa pole kwa wote walao fikwa na msiba huu.Tukio hili la kuzama kwa meli lime tushtuwa sana , kwani nilapili kwa kipindi kifupi.

Allah awaleza pahala pema walotangulia mbele ya haki na awape subra wale wote walofikwa na msiba huu.

Leo september 11 Kutakua na Salatul Maiti Ghaib katika Chuo cha Madrassatul Amin West baada ya Sala ya Adhuhuri

Matumaini yetu kuwa serikali itachukua hatua za kweli kuhakikisha walae wote walio zembea na kusababisha tukio hili kutokea wanafikishwa mbele ya sharia .

Pia tuna waomaba serikali kuwapatia msaada wa hali na mali wale wote walofiliwa na walae wote walopata msukusuko katika ajaili hii.

Tuna washukuru wale wote waloshiriki kwa moyo mmoja na upendo katika kazi ya uokoaji na pamoja na walokua wakitupasha habari.

Board member
1752B Victoria park
Toronto, Canada

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...