Sisi wanafunzi wa kitanzania tunaosoma chuo kikuu cha Hertfordshire tunachukua fursa hii kuwapa pole wale wote waofiwa, majeruhi na waathirika wa ajali ya meli ya Spice islander iliyotokea usiku wa kuamkia jana huko zanzibar. Japo tuko mbali ila dua na swala zetu zipo kwenu.


Kwa kweli tumeshtushwa na kuhuzunika kwa habari hizi za kuhuzunisha kwetu na watanzania kwa ujumla. Sisi tunawaombea kwa Mwenyezi mungu wale waliokuwa hospitali wapone haraka na kwa waliofariki mwenyezi mungu awajaalie wawe watu wema wa peponi. Amin


Abdulfattah


Kwa niaba ya wanafunzi


University of Hertfordshire-UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...