Rambi rambi hizi ziwafikie wale wote walioathirika kutokana na ajali hiyo,waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki,na wananchi wote pamoja na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SMZ. 

Mwenyezi Mungu azilaze roho za Marehemu Mahali pema Peponi,na awajalie majeruhi wapone haraka na atujalie subira wananchi wote kutokana na janga hili la Kitaifa.

Amin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...