INNALILLAHI WAINA ILLAIHI RAJIUUN

Tunatoa salamu zetu za pole pamoja na rambi rambi kwa ndugu zetu waliopatwa na msiba kutokana na ajali ya meli iliyotokea juzi usiku, kwani msiba huu umezigusa familia zote. Ama kwa hakika tumepatwa na simanzi nyingi juu ya kuwapoteza ndugu, jamaa na mararafi zetu.

Tunamuomba Allah awajaaliye pema peponi waliotangulia na awape afya njema majeruhi wote, na awape moyo wa subira ndugu na jamaa zao wote walioathirika na janga hili kubwa.

ASALAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAQATUHU

BELGIUM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...