Stephen Chuwa na Ankal wakiwa na Mwenyeji wao, Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa, Bi Flora Nducha kwenye ofisi za muda za kituo hicho jijini New York leo.
Flora Nducha akifanya mahojiano na Stephen Chuwa wa ITV kuhusu mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini New York
Ankal and Stephen Chuwa wakiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa walipotembelea kituo hicho jijini New York leo.
Safi sana Flora Nducha, ITV Radio One wanatoa vichwa vya nguvu, sio wakina Millard wanatoka hapo na kwenda Radio ya watu ..........
ReplyDeleteankali nakumind sana mpango wako wa kubana comment za watu alafu unaita hii blog ya jamii sasa sielewei jamii hiyo ni ipi
ReplyDeletewatu wanatuma comment za kawaida tu bila kuchafua hali ya hewa wewe unazikaushia sio uungwana badilika mkuu haipendezi.
michuzi shushushu, kila kukicha uko juu.
ReplyDelete