Frank Humplick ni mwanamuziki ambaye pamoja na kuwa alipiga nyimbo zake miaka ya 50 , bado nyimbo zake zinapendwa hadi leo. Wangapi hawaujui wimbo kama Embe dodo imelala mchangani,? Msome misha yake hapa <http://wanamuzikiwatanzania. blogspot.com/2011/09/maisha- ya-frank-humplick.html>
--
--
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...