Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali ukiwemo msimamo wa Tanzania kuhusu kutambua Baraza la Mpito la Libya (NTC). Kulia ni Mkuu wa Idara ya Habari wa Wizara hiyo Assah Mwambene.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...