Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Kasome wilayani Musoma Vijijini baada ya kufungua bweni hilo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili Nyumbani kwake Mwitongo Butiama akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili nyumbani kwake, Mwitongo, Butiama akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...