Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini, Mh. Bjarne Henneberg Sorensen ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya kumuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa China nchini, Mhe. Liu Xinsheng, kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Sijafurahishwa na wingi wa makabrasha ktk Meza ambayo naamini ndio meza kuu ya ofisi ya PM...Picha ya pili akiwa na balozi wa China
ReplyDeleteNilidhani Serikali imeachana na mfumo huu.