Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la benki ya CRDB la Mpanda jana Septemba 10,2011. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dr.Charles Kimei.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawila Benki ya CRDB la Mpanda baada ya kulifungua, jana Septemba 10,2011. Kulia kwake ni mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB, Martin Mmari. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...