Wachezaji wa Yanga wakifurahia bao la pili la timu yao liliofungwa na Rashidi Gumbo (wa tatu kushoto) katika mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara,uliopigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa azam,jijini DarYanga imeshinda bao 2-1.
Mshabuliaji wa Yanga, Keneth Asamoah (shoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa African Lyon.
Mchezaji wa timu ya African Lyon, Hamis Thabit akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Davis Mwape wakati wa mchezowa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.uliochezwa jioni ya leo.Yanga imeshinda bao 2-1.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao dhidi ya African Lyon uliofanyika kwenye leo Uwanja wa Azam jijini Dar es Salaam leo.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Duuh, mabingwa wa Kagame kumfunga African Lyon 2-1 imekuwa ni kuchabanga!!!!
ReplyDeleteHONGERA YANGA KWA USHINDI WA JANA,HUO NI MWANZO KAZI SASA IMEANZA MSILEGEZE KAMBA TENA. YANGA IMARA SIKU ZOTE.
ReplyDelete