Wachezaji wa Yanga wakifurahia bao la pili la timu yao liliofungwa na Rashidi Gumbo (wa tatu kushoto) katika mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara,uliopigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa azam,jijini DarYanga imeshinda bao 2-1.
Mshabuliaji wa Yanga, Keneth Asamoah (shoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa African Lyon.
Mchezaji wa timu ya African Lyon, Hamis Thabit akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Davis Mwape wakati wa mchezowa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.uliochezwa jioni ya leo.Yanga imeshinda bao 2-1.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao dhidi ya African Lyon uliofanyika kwenye leo Uwanja wa Azam jijini Dar es Salaam leo.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Duuh, mabingwa wa Kagame kumfunga African Lyon 2-1 imekuwa ni kuchabanga!!!!

    ReplyDelete
  2. HONGERA YANGA KWA USHINDI WA JANA,HUO NI MWANZO KAZI SASA IMEANZA MSILEGEZE KAMBA TENA. YANGA IMARA SIKU ZOTE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...