Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dk.Emmanuel John Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na Baraza jipya la Michezo la Taifa (BMT) aliloliteuwa wiki iliyopita mara baada ya kulizindua rasmi leo.Waziri Nchimbi amelitaka Baraza hilo kuhakikisha linatafuta tatizo la kwanini hatufanikiwi katika sekta ya michezo hapa nchini na kulitatua kabisa tatizo hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...