Afisa wa Bunge Ndugu Patson Sobha akiwaelezea wananchi Historia ya Siwa ya Bunge (ambayo wengi wanapenda kuliita Rungu la Bunge) katika maonesho ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru katika viwanja vya Mnazi mmoja
Afisa Habari wa Bunge Ndugu Owen Mwandumbya akiwaelezea wananchi Historia ya Siwa ya Bunge (ambayo wengi wanapenda kuliita Rungu la Bunge) katika maonesho ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru katika viwanja vya Mnazi mmoja
Afisa wa Bunge Ndugu Patson Sobha akiwaelezea wananchi Historia ya Siwa ya Bunge (ambayo wengi wanapenda kuliita Rungu la Bunge) katika maonesho ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru katika viwanja vya Mnazi mmoja
Ni burudani kwa kwenda mbele katika Viwanja vya Mnazi mmoja
Wananchi katika maonesho hayo
uhuru gani mnao sherehekeya wakati waliopigania huu uhuru; mashujaa wenginewe wamefutwa na historia imepoteshwa na mtu mmoja tu ndo kupewa kipaubele na kueziwa kama yeye ndo shuja peke wa matunda ya uhuru.
ReplyDeleteuhuru gani wakati hata hatuju kama tupo katika siasa ya ujama au ubepari?
uhuru gani tuliona mpala hii leo wakati mtanzania mlala hoi hae anatumia dola mmoja tu kujikimu na wenginewe wanatumia dola mia kutesa kwa nyama choma na bia.
uhuru gani vitendea kazi mashuleni katika shule za walala hoi hakuna na walimu hakuna wenye ujuzi kamili.
je ulize uhuru gani tulio nao
aibu tupu.
ufisadi zaidi unatawala na kuongoza ndo uhuru tulionao, bora ya mkoloni.
wazee wetu walikuwa hawana elimu lakini walikuwa na hikma na busara je sisi kizazi kipya tunajisifu kwa elimu zetu je tuna busara?
kaani chini wadanganyika mjiulize maswali haya?
ni uhuru gani mnao zungumzia sisi bwana ni koloni lililo na uhuru wa bendera.
ReplyDeletezipo wapi zile ndoto za kujitegemea, siasa safi,uongozi bora kwa kutumia juhudi na maarifa kuupiga vita ujinga,umasikini,na maradhi? zipo wapi hizi.
jiulize mpaka lini utaendelea kuamini ahadi hewa na ukiwa umelewa togwa la ukwaju na kupewa leso kufuta jasho, huku maji na kuku wa karamu ni yule uliyemtoa zaka?
siwalaumu viongozi wetu peke,bali lawama za kwanza ni kwanu mimi na wewe mdau mwenzangu muosha kinywa niliye mjingaa ambaye kwa upumbavu nimekimbia majukumu yangu na wajibu wangu niliopewa na mola wangu na kulindwa na katiba ya nchi yangu kwa kuuza haki yangu za kupiga kura kwa kukubali kuburuzwa kwa kulishwa ugari wa badaa na mlenda kila siku.
ni uhuru gani tunaojitapa nao bwana sisi ni koloni lililo na uhuru wa bendera tutake tusitake.
bro michuzi weke hii comment please
wewe uliye vaa kibarkashehaa je unaijua historia yako ya uhuru na ccm? na imani yako ya dini?
ReplyDeleteusijipeleke peleke kimbele mbele tuu
bro michuzi nakushukuru sana kwa kuniwekea comment zangu hapo juu shukran sana wadau/wavima macho waosha vinywa wenzanguu basi na tutafakari juu ya uhuru huu tuliona
ReplyDeleteshukran sana bro michuzi kwa kuniwekea comment zangu ubarikiwe daima amen
Najua wananchi hawana uwezo wa kumuondoa madarakani kiongozi mbadhilifu wa mali ya serikali au asie mwadilifu ,ukiachia mbali wataandamana kuomba ajiuzuru tu.
ReplyDeleteHivi bunge linauwezo wa kumuondoa madarakani kiongozi wa wizara au shirika la kiserikali pindi amekuwa si mwadilifu?
Kama hivi ndivyo basi wabunge wote ni wanafki.
Pia serikali yote ni wanafki kwa wananchi wao.
Maana alama za mnafiki ni tatu:
1.Uongo 2.si mwaminifu 3.Hatimizi ahadi
Hizi sifa zote zinawagusa baadhi ya viongozi wetu.
kuna uhusiano gani wa bunge na freemasons....
ReplyDeletekuna uhusiano gani kati ya bunge na freemason...
ReplyDelete