Hakimu mkazi wa mahakama ya mkoa Ruvuma Bi Aziza Luttala akimuapisha Diwani wa kata ya Matimila kupitia CCM, Mh Menas Komba kulia katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya songea vijijini,baada ya diwani huyo kushinda kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika wiki iliyopita,
 Diwani mteule wa kata ya Matimila mh. Menas Komba  kulia akisaini hati ya kiapo cha kuwa diwani kufuatia kushinda katika uchaguzi mdogo wa nafasi hiyo uliofanyika hivi karibuni wilayani Songea, anayeshuhudia kushoto ni Hakimu Mkazi wa mahakama ya   mkoa wa Ruvuma Bi Aziza Luttala,


Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh.  Janesta mhagama (kulia) akimvisha shada la maua katibu wake Bw Menas Komba baada ya kuchaguliwa kuwa diwani wa kata ya matimila songea vijijini kufuatia kufanyika kwa uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibuni wilayani Songea. 
Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii, Songea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani siku hizi serikali ya Tz haina weekend? Wanafanyakazi 24/7

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...