Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mohamed Mpinga, akionesha moja ya vitabu 20,000, alivyokabidhiwa na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Teddy Mapunda (kushoto), Dar es Salaam ,kwa ajili ya kugawiwa watumiaji wa barabara nchi nzima. 
Picha na Kamanda wa matukio Richard Mwaikenda 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. "vitabu 20,000 kwa ajili ya kugawiwa watumiaji wa barabara nchi nzima"Hatupo serious katika kupunguza na kutomeza ajali nchini..ELFU ISHIRINI?

    ReplyDelete
  2. Kuna madereva wangapi wenye gari?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...